Zaburi 36:10
Psalms 36:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Dumisha upendo wako kwa wale wanaokujua wewe, haki yako kwa wale walio wanyofu wa moyo.
Psalms 36:10 in English
Psalms 36:10 · Berean Standard Bible
Extend Your loving devotion to those who know You, and Your righteousness to the upright in heart.
Context
8Wanajifurahisha katika wingi nyumbani mwako,
nawe utawanywesha katika mto wa furaha zako. 9Kuwa pamoja nawe ni kijito cha uzima,
katika nuru yako twaona nuru. 10Dumisha upendo wako kwa wale wanaokujua wewe,
haki yako kwa wale walio wanyofu wa moyo. 11Mguu wa mwenye kiburi usije dhidi yangu,
wala mkono wa mwovu usinifukuze. 12Angalia jinsi watenda mabaya walivyoanguka:
wametupwa chini, hawawezi kuinuka!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.