Native Bible

Psalms 36:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanajifurahisha katika wingi nyumbani mwako, nawe utawanywesha katika mto wa furaha zako.

Psalms 36:8 in English

Psalms 36:8 · Berean Standard Bible

They feast on the abundance of Your house, and You give them drink from Your river of delights.

Context

6Haki yako ni kama milima mikubwa, hukumu zako ni kama kilindi kikuu. Ee Bwana, wewe huwahifadhi mwanadamu na mnyama. 7Upendo wako usiokoma ni wa thamani mno! Watu wakuu na wadogo hujificha uvulini wa mbawa zako. 8Wanajifurahisha katika wingi nyumbani mwako, nawe utawanywesha katika mto wa furaha zako. 9Kuwa pamoja nawe ni kijito cha uzima, katika nuru yako twaona nuru. 10Dumisha upendo wako kwa wale wanaokujua wewe, haki yako kwa wale walio wanyofu wa moyo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.