Zaburi 36:6
Psalms 36:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Haki yako ni kama milima mikubwa, hukumu zako ni kama kilindi kikuu. Ee Bwana, wewe huwahifadhi mwanadamu na mnyama.
Psalms 36:6 in English
Psalms 36:6 · Berean Standard Bible
Your righteousness is like the highest mountains; Your judgments are like the deepest sea. O LORD, You preserve man and beast.
Context
4Hata kitandani mwake hupanga hila mbaya,
hujitia katika njia ya dhambi
na hakatai lililo baya. 5Upendo wako, Ee Bwana, unafika hadi mbinguni,
uaminifu wako hadi kwenye anga. 6Haki yako ni kama milima mikubwa,
hukumu zako ni kama kilindi kikuu.
Ee Bwana, wewe huwahifadhi
mwanadamu na mnyama. 7Upendo wako usiokoma
ni wa thamani mno!
Watu wakuu na wadogo
hujificha uvulini wa mbawa zako. 8Wanajifurahisha katika wingi nyumbani mwako,
nawe utawanywesha katika mto wa furaha zako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.