Native Bible

Psalms 36:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Upendo wako, Ee Bwana, unafika hadi mbinguni, uaminifu wako hadi kwenye anga.

Psalms 36:5 in English

Psalms 36:5 · Berean Standard Bible

Your loving devotion, O LORD, reaches to the heavens, Your faithfulness to the clouds.

Context

3Maneno ya kinywa chake ni maovu na ya udanganyifu, ameacha kuwa mwenye hekima na kutenda mema. 4Hata kitandani mwake hupanga hila mbaya, hujitia katika njia ya dhambi na hakatai lililo baya. 5Upendo wako, Ee Bwana, unafika hadi mbinguni, uaminifu wako hadi kwenye anga. 6Haki yako ni kama milima mikubwa, hukumu zako ni kama kilindi kikuu. Ee Bwana, wewe huwahifadhi mwanadamu na mnyama. 7Upendo wako usiokoma ni wa thamani mno! Watu wakuu na wadogo hujificha uvulini wa mbawa zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.