Native Bible

Psalms 36:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mguu wa mwenye kiburi usije dhidi yangu, wala mkono wa mwovu usinifukuze.

Psalms 36:11 in English

Psalms 36:11 · Berean Standard Bible

Let not the foot of the proud come against me, nor the hand of the wicked drive me away.

Context

9Kuwa pamoja nawe ni kijito cha uzima, katika nuru yako twaona nuru. 10Dumisha upendo wako kwa wale wanaokujua wewe, haki yako kwa wale walio wanyofu wa moyo. 11Mguu wa mwenye kiburi usije dhidi yangu, wala mkono wa mwovu usinifukuze. 12Angalia jinsi watenda mabaya walivyoanguka: wametupwa chini, hawawezi kuinuka!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.