Zaburi 35:14
Psalms 35:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
niliendelea kuomboleza kama vile wao ni rafiki au ndugu. Niliinamisha kichwa chini kwa huzuni kama ninayemwombolezea mama yangu.
Psalms 35:14 in English
Psalms 35:14 · Berean Standard Bible
I paced about as for my friend or brother; I was bowed down with grief, like one mourning for his mother.
Context
12Wananilipa baya kwa jema
na kuiacha nafsi yangu ukiwa. 13Lakini walipokuwa wagonjwa, nilivaa nguo ya gunia
na nikajinyenyekesha kwa kufunga.
Maombi yangu yaliponirudia bila kujibiwa, 14niliendelea kuomboleza
kama vile wao ni rafiki au ndugu.
Niliinamisha kichwa chini kwa huzuni
kama ninayemwombolezea mama yangu. 15Lakini nilipojikwaa,
walikusanyika kwa shangwe;
washambuliaji walijikusanya dhidi yangu
bila mimi kujua.
Walinisingizia pasipo kukoma. 16Kama watu wasiomcha Mungu, wamenidhihaki,
wamenisagia meno.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.