Native Bible

Psalms 35:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wananilipa baya kwa jema na kuiacha nafsi yangu ukiwa.

Psalms 35:12 in English

Psalms 35:12 · Berean Standard Bible

They repay me evil for good, to the bereavement of my soul.

Context

10Nitapaza sauti yangu nikisema, “Ni nani aliye kama wewe, Ee Bwana? Wewe huwaokoa maskini kutokana na wale walio na nguvu kuliko wao, maskini na mhitaji kutokana na wanaowanyangʼanya!” 11Mashahidi wakatili wanainuka, wananiuliza mambo nisiyoyajua. 12Wananilipa baya kwa jema na kuiacha nafsi yangu ukiwa. 13Lakini walipokuwa wagonjwa, nilivaa nguo ya gunia na nikajinyenyekesha kwa kufunga. Maombi yangu yaliponirudia bila kujibiwa, 14niliendelea kuomboleza kama vile wao ni rafiki au ndugu. Niliinamisha kichwa chini kwa huzuni kama ninayemwombolezea mama yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.