Native Bible

Psalms 35:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitapaza sauti yangu nikisema, “Ni nani aliye kama wewe, Ee Bwana? Wewe huwaokoa maskini kutokana na wale walio na nguvu kuliko wao, maskini na mhitaji kutokana na wanaowanyangʼanya!”

Psalms 35:10 in English

Psalms 35:10 · Berean Standard Bible

All my bones will exclaim, “Who is like You, O LORD, who delivers the afflicted from the aggressor, the poor and needy from the robber?”

Context

8maafa na yawapate ghafula: wavu walionifichia na uwatege wenyewe, na waanguke katika shimo hilo, kwa maangamizo yao. 9Ndipo nafsi yangu itashangilia katika Bwana na kuufurahia wokovu wake. 10Nitapaza sauti yangu nikisema, “Ni nani aliye kama wewe, Ee Bwana? Wewe huwaokoa maskini kutokana na wale walio na nguvu kuliko wao, maskini na mhitaji kutokana na wanaowanyangʼanya!” 11Mashahidi wakatili wanainuka, wananiuliza mambo nisiyoyajua. 12Wananilipa baya kwa jema na kuiacha nafsi yangu ukiwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.