Zaburi 35:11
Psalms 35:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mashahidi wakatili wanainuka, wananiuliza mambo nisiyoyajua.
Psalms 35:11 in English
Psalms 35:11 · Berean Standard Bible
Hostile witnesses come forward; they make charges I know nothing about.
Context
9Ndipo nafsi yangu itashangilia katika Bwana
na kuufurahia wokovu wake. 10Nitapaza sauti yangu nikisema,
“Ni nani aliye kama wewe, Ee Bwana?
Wewe huwaokoa maskini kutokana na wale walio na nguvu kuliko wao,
maskini na mhitaji kutokana na wanaowanyangʼanya!” 11Mashahidi wakatili wanainuka,
wananiuliza mambo nisiyoyajua. 12Wananilipa baya kwa jema
na kuiacha nafsi yangu ukiwa. 13Lakini walipokuwa wagonjwa, nilivaa nguo ya gunia
na nikajinyenyekesha kwa kufunga.
Maombi yangu yaliponirudia bila kujibiwa,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.