Native Bible

Psalms 35:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini walipokuwa wagonjwa, nilivaa nguo ya gunia na nikajinyenyekesha kwa kufunga. Maombi yangu yaliponirudia bila kujibiwa,

Psalms 35:13 in English

Psalms 35:13 · Berean Standard Bible

Yet when they were ill, I put on sackcloth; I humbled myself with fasting, but my prayers returned unanswered.*

Context

11Mashahidi wakatili wanainuka, wananiuliza mambo nisiyoyajua. 12Wananilipa baya kwa jema na kuiacha nafsi yangu ukiwa. 13Lakini walipokuwa wagonjwa, nilivaa nguo ya gunia na nikajinyenyekesha kwa kufunga. Maombi yangu yaliponirudia bila kujibiwa, 14niliendelea kuomboleza kama vile wao ni rafiki au ndugu. Niliinamisha kichwa chini kwa huzuni kama ninayemwombolezea mama yangu. 15Lakini nilipojikwaa, walikusanyika kwa shangwe; washambuliaji walijikusanya dhidi yangu bila mimi kujua. Walinisingizia pasipo kukoma.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.