Native Bible

Psalms 35:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama watu wasiomcha Mungu, wamenidhihaki, wamenisagia meno.

Psalms 35:16 in English

Psalms 35:16 · Berean Standard Bible

Like godless jesters at a feast,* they gnashed their teeth at me.

Context

14niliendelea kuomboleza kama vile wao ni rafiki au ndugu. Niliinamisha kichwa chini kwa huzuni kama ninayemwombolezea mama yangu. 15Lakini nilipojikwaa, walikusanyika kwa shangwe; washambuliaji walijikusanya dhidi yangu bila mimi kujua. Walinisingizia pasipo kukoma. 16Kama watu wasiomcha Mungu, wamenidhihaki, wamenisagia meno. 17Ee Bwana, utatazama mpaka lini? Niokoe maisha yangu na maangamizi yao, uhai wangu wa thamani kutokana na simba hawa. 18Nami nitakushukuru mbele ya kusanyiko kubwa, nitakusifu katikati ya watu wengi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.