Native Bible

Psalms 35:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nami nitakushukuru mbele ya kusanyiko kubwa, nitakusifu katikati ya watu wengi.

Psalms 35:18 in English

Psalms 35:18 · Berean Standard Bible

Then I will give You thanks in the great assembly; I will praise You among many people.

Context

16Kama watu wasiomcha Mungu, wamenidhihaki, wamenisagia meno. 17Ee Bwana, utatazama mpaka lini? Niokoe maisha yangu na maangamizi yao, uhai wangu wa thamani kutokana na simba hawa. 18Nami nitakushukuru mbele ya kusanyiko kubwa, nitakusifu katikati ya watu wengi. 19Usiwaache wale wanaonisimanga, wale ambao ni adui zangu bila sababu; usiwaache wale ambao ni adui zangu bila sababu wakonyeze jicho kwa hila. 20Hawazungumzi kwa amani, bali wanatunga mashtaka ya uongo dhidi ya wale wanaoishi kwa utulivu katika nchi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.