Native Bible

Psalms 35:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usiwaache wale wanaonisimanga, wale ambao ni adui zangu bila sababu; usiwaache wale ambao ni adui zangu bila sababu wakonyeze jicho kwa hila.

Psalms 35:19 in English

Psalms 35:19 · Berean Standard Bible

Let not my enemies gloat over me without cause, nor those who hate me without reason wink in malice.*

Context

17Ee Bwana, utatazama mpaka lini? Niokoe maisha yangu na maangamizi yao, uhai wangu wa thamani kutokana na simba hawa. 18Nami nitakushukuru mbele ya kusanyiko kubwa, nitakusifu katikati ya watu wengi. 19Usiwaache wale wanaonisimanga, wale ambao ni adui zangu bila sababu; usiwaache wale ambao ni adui zangu bila sababu wakonyeze jicho kwa hila. 20Hawazungumzi kwa amani, bali wanatunga mashtaka ya uongo dhidi ya wale wanaoishi kwa utulivu katika nchi. 21Hunifumbulia vinywa vyao wakisema, “Aha! Aha! Kwa macho yetu wenyewe tumeliona.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.