Native Bible

Psalms 34:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wamtazamao hutiwa nuru, nyuso zao hazifunikwi na aibu kamwe.

Psalms 34:5 in English

Psalms 34:5 · Berean Standard Bible

Those who look to Him are radiant with joy; their faces shall never be ashamed.

Context

3Mtukuzeni Bwana pamoja nami, naam, na tulitukuze jina lake pamoja. 4Nilimtafuta Bwana naye akanijibu, akaniokoa kwenye hofu zangu zote. 5Wale wamtazamao hutiwa nuru, nyuso zao hazifunikwi na aibu kamwe. 6Maskini huyu alimwita Bwana, naye akamsikia, akamwokoa katika taabu zake zote. 7Malaika wa Bwana hufanya kituo akiwazunguka wale wamchao, naye huwaokoa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.