Native Bible

Psalms 34:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nilimtafuta Bwana naye akanijibu, akaniokoa kwenye hofu zangu zote.

Psalms 34:4 in English

Psalms 34:4 · Berean Standard Bible

I sought the LORD, and He answered me; He delivered me from all my fears.

Context

2Nafsi yangu itajisifu katika Bwana, walioonewa watasikia na wafurahi. 3Mtukuzeni Bwana pamoja nami, naam, na tulitukuze jina lake pamoja. 4Nilimtafuta Bwana naye akanijibu, akaniokoa kwenye hofu zangu zote. 5Wale wamtazamao hutiwa nuru, nyuso zao hazifunikwi na aibu kamwe. 6Maskini huyu alimwita Bwana, naye akamsikia, akamwokoa katika taabu zake zote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.