Native Bible

Psalms 34:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nafsi yangu itajisifu katika Bwana, walioonewa watasikia na wafurahi.

Psalms 34:2 in English

Psalms 34:2 · Berean Standard Bible

My soul boasts in the LORD; let the oppressed hear and rejoice.

Context

1Nitamtukuza Bwana nyakati zote, sifa zake zitakuwa midomoni mwangu siku zote. 2Nafsi yangu itajisifu katika Bwana, walioonewa watasikia na wafurahi. 3Mtukuzeni Bwana pamoja nami, naam, na tulitukuze jina lake pamoja. 4Nilimtafuta Bwana naye akanijibu, akaniokoa kwenye hofu zangu zote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.