Native Bible

Psalms 34:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitamtukuza Bwana nyakati zote, sifa zake zitakuwa midomoni mwangu siku zote.

Psalms 34:1 in English

Psalms 34:1 · Berean Standard Bible

I will bless the LORD at all times; His praise will always be on my lips.

Context

1Nitamtukuza Bwana nyakati zote, sifa zake zitakuwa midomoni mwangu siku zote. 2Nafsi yangu itajisifu katika Bwana, walioonewa watasikia na wafurahi. 3Mtukuzeni Bwana pamoja nami, naam, na tulitukuze jina lake pamoja.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.