Zaburi 34:3
Psalms 34:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtukuzeni Bwana pamoja nami, naam, na tulitukuze jina lake pamoja.
Psalms 34:3 in English
Psalms 34:3 · Berean Standard Bible
Magnify the LORD with me; let us exalt His name together.
Context
1Nitamtukuza Bwana nyakati zote,
sifa zake zitakuwa midomoni mwangu siku zote. 2Nafsi yangu itajisifu katika Bwana,
walioonewa watasikia na wafurahi. 3Mtukuzeni Bwana pamoja nami,
naam, na tulitukuze jina lake pamoja. 4Nilimtafuta Bwana naye akanijibu,
akaniokoa kwenye hofu zangu zote. 5Wale wamtazamao hutiwa nuru,
nyuso zao hazifunikwi na aibu kamwe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.