Native Bible

Psalms 34:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maskini huyu alimwita Bwana, naye akamsikia, akamwokoa katika taabu zake zote.

Psalms 34:6 in English

Psalms 34:6 · Berean Standard Bible

This poor man called out, and the LORD heard him; He saved him from all his troubles.

Context

4Nilimtafuta Bwana naye akanijibu, akaniokoa kwenye hofu zangu zote. 5Wale wamtazamao hutiwa nuru, nyuso zao hazifunikwi na aibu kamwe. 6Maskini huyu alimwita Bwana, naye akamsikia, akamwokoa katika taabu zake zote. 7Malaika wa Bwana hufanya kituo akiwazunguka wale wamchao, naye huwaokoa. 8Onjeni mwone kwamba Bwana ni mwema, heri mtu yule anayemkimbilia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.