Native Bible

Psalms 34:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Onjeni mwone kwamba Bwana ni mwema, heri mtu yule anayemkimbilia.

Psalms 34:8 in English

Psalms 34:8 · Berean Standard Bible

Taste and see that the LORD is good; blessed is the man who takes refuge in Him!

Context

6Maskini huyu alimwita Bwana, naye akamsikia, akamwokoa katika taabu zake zote. 7Malaika wa Bwana hufanya kituo akiwazunguka wale wamchao, naye huwaokoa. 8Onjeni mwone kwamba Bwana ni mwema, heri mtu yule anayemkimbilia. 9Mcheni Bwana enyi watakatifu wake, kwa maana wale wamchao hawapungukiwi na chochote. 10Wana simba wenye nguvu hutindikiwa na kuona njaa, bali wale wamtafutao Bwana hawatakosa kitu chochote kilicho chema.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.