Native Bible

Psalms 34:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Malaika wa Bwana hufanya kituo akiwazunguka wale wamchao, naye huwaokoa.

Psalms 34:7 in English

Psalms 34:7 · Berean Standard Bible

The angel of the LORD encamps around those who fear Him, and he delivers them.

Context

5Wale wamtazamao hutiwa nuru, nyuso zao hazifunikwi na aibu kamwe. 6Maskini huyu alimwita Bwana, naye akamsikia, akamwokoa katika taabu zake zote. 7Malaika wa Bwana hufanya kituo akiwazunguka wale wamchao, naye huwaokoa. 8Onjeni mwone kwamba Bwana ni mwema, heri mtu yule anayemkimbilia. 9Mcheni Bwana enyi watakatifu wake, kwa maana wale wamchao hawapungukiwi na chochote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.