Zaburi 34:9
Psalms 34:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mcheni Bwana enyi watakatifu wake, kwa maana wale wamchao hawapungukiwi na chochote.
Psalms 34:9 in English
Psalms 34:9 · Berean Standard Bible
Fear the LORD, you His saints, for those who fear Him lack nothing.
Context
7Malaika wa Bwana hufanya kituo
akiwazunguka wale wamchao,
naye huwaokoa. 8Onjeni mwone kwamba Bwana ni mwema,
heri mtu yule anayemkimbilia. 9Mcheni Bwana enyi watakatifu wake,
kwa maana wale wamchao
hawapungukiwi na chochote. 10Wana simba wenye nguvu
hutindikiwa na kuona njaa,
bali wale wamtafutao Bwana
hawatakosa kitu chochote kilicho chema. 11Njooni, watoto wangu, mnisikilize,
nitawafundisha kumcha Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.