Native Bible

Psalms 33:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ili awaokoe na mauti, na kuwahifadhi wakati wa njaa.

Psalms 33:19 in English

Psalms 33:19 · Berean Standard Bible

to deliver them from death and keep them alive in famine.

Context

17Farasi ni tumaini la bure kwa wokovu, licha ya nguvu zake nyingi, hawezi kuokoa. 18Lakini macho ya Bwana yako kwa wale wamchao, kwa wale tumaini lao liko katika upendo wake usio na kikomo, 19ili awaokoe na mauti, na kuwahifadhi wakati wa njaa. 20Sisi tunamngojea Bwana kwa matumaini, yeye ni msaada wetu na ngao yetu. 21Mioyo yetu humshangilia, kwa maana tunalitumainia jina lake takatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.