Zaburi 33:20
Psalms 33:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sisi tunamngojea Bwana kwa matumaini, yeye ni msaada wetu na ngao yetu.
Psalms 33:20 in English
Psalms 33:20 · Berean Standard Bible
Our soul waits for the LORD; He is our help and our shield.
Context
18Lakini macho ya Bwana yako kwa wale wamchao,
kwa wale tumaini lao liko katika upendo wake usio na kikomo, 19ili awaokoe na mauti,
na kuwahifadhi wakati wa njaa. 20Sisi tunamngojea Bwana kwa matumaini,
yeye ni msaada wetu na ngao yetu. 21Mioyo yetu humshangilia,
kwa maana tunalitumainia jina lake takatifu. 22Upendo wako usio na mwisho ukae juu yetu, Ee Bwana,
tunapoliweka tumaini letu kwako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.