Native Bible

Psalms 33:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mioyo yetu humshangilia, kwa maana tunalitumainia jina lake takatifu.

Psalms 33:21 in English

Psalms 33:21 · Berean Standard Bible

For our hearts rejoice in Him, since we trust in His holy name.

Context

19ili awaokoe na mauti, na kuwahifadhi wakati wa njaa. 20Sisi tunamngojea Bwana kwa matumaini, yeye ni msaada wetu na ngao yetu. 21Mioyo yetu humshangilia, kwa maana tunalitumainia jina lake takatifu. 22Upendo wako usio na mwisho ukae juu yetu, Ee Bwana, tunapoliweka tumaini letu kwako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.