Native Bible

Psalms 33:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini macho ya Bwana yako kwa wale wamchao, kwa wale tumaini lao liko katika upendo wake usio na kikomo,

Psalms 33:18 in English

Psalms 33:18 · Berean Standard Bible

Surely the eyes of the LORD are on those who fear Him, on those whose hope is in His loving devotion

Context

16Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake; hakuna shujaa aokokaye kwa wingi wa nguvu zake. 17Farasi ni tumaini la bure kwa wokovu, licha ya nguvu zake nyingi, hawezi kuokoa. 18Lakini macho ya Bwana yako kwa wale wamchao, kwa wale tumaini lao liko katika upendo wake usio na kikomo, 19ili awaokoe na mauti, na kuwahifadhi wakati wa njaa. 20Sisi tunamngojea Bwana kwa matumaini, yeye ni msaada wetu na ngao yetu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.