Zaburi 33:16
Psalms 33:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake; hakuna shujaa aokokaye kwa wingi wa nguvu zake.
Psalms 33:16 in English
Psalms 33:16 · Berean Standard Bible
No king is saved by his vast army; no warrior is delivered by his great strength.
Context
14kutoka maskani mwake huwaangalia
wote wakaao duniani: 15yeye ambaye huumba mioyo yao wote,
ambaye huangalia kila kitu wanachokitenda. 16Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake;
hakuna shujaa aokokaye kwa wingi wa nguvu zake. 17Farasi ni tumaini la bure kwa wokovu,
licha ya nguvu zake nyingi, hawezi kuokoa. 18Lakini macho ya Bwana yako kwa wale wamchao,
kwa wale tumaini lao liko katika upendo wake usio na kikomo,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.