Zaburi 33:14
Psalms 33:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kutoka maskani mwake huwaangalia wote wakaao duniani:
Psalms 33:14 in English
Psalms 33:14 · Berean Standard Bible
From His dwelling place He gazes on all who inhabit the earth.
Context
12Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao,
watu ambao aliwachagua kuwa urithi wake. 13Kutoka mbinguni Bwana hutazama chini
na kuwaona wanadamu wote; 14kutoka maskani mwake huwaangalia
wote wakaao duniani: 15yeye ambaye huumba mioyo yao wote,
ambaye huangalia kila kitu wanachokitenda. 16Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake;
hakuna shujaa aokokaye kwa wingi wa nguvu zake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.