Native Bible

Psalms 33:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, watu ambao aliwachagua kuwa urithi wake.

Psalms 33:12 in English

Psalms 33:12 · Berean Standard Bible

Blessed is the nation whose God is the LORD, the people He has chosen as His inheritance!

Context

10Bwana huzuia mipango ya mataifa, hupinga makusudi ya mataifa. 11Lakini mipango ya Bwana inasimama imara milele, makusudi ya moyo wake kwa vizazi vyote. 12Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, watu ambao aliwachagua kuwa urithi wake. 13Kutoka mbinguni Bwana hutazama chini na kuwaona wanadamu wote; 14kutoka maskani mwake huwaangalia wote wakaao duniani:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.