Zaburi 33:10
Psalms 33:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana huzuia mipango ya mataifa, hupinga makusudi ya mataifa.
Psalms 33:10 in English
Psalms 33:10 · Berean Standard Bible
The LORD frustrates the plans of the nations; He thwarts the devices of the peoples.
Context
8Dunia yote na imwogope Bwana,
watu wote wa dunia wamche. 9Kwa maana Mungu alisema, na ikawa,
aliamuru na ikasimama imara. 10Bwana huzuia mipango ya mataifa,
hupinga makusudi ya mataifa. 11Lakini mipango ya Bwana inasimama imara milele,
makusudi ya moyo wake kwa vizazi vyote. 12Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao,
watu ambao aliwachagua kuwa urithi wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.