Zaburi 33:8
Psalms 33:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Dunia yote na imwogope Bwana, watu wote wa dunia wamche.
Psalms 33:8 in English
Psalms 33:8 · Berean Standard Bible
Let all the earth fear the LORD; let all the people of the world revere Him.
Context
6Kwa neno la Bwana mbingu ziliumbwa,
jeshi lao la angani kwa pumzi ya kinywa chake. 7Ameyakusanya maji ya bahari
kama kwenye chungu;
vilindi vya bahari
ameviweka katika ghala. 8Dunia yote na imwogope Bwana,
watu wote wa dunia wamche. 9Kwa maana Mungu alisema, na ikawa,
aliamuru na ikasimama imara. 10Bwana huzuia mipango ya mataifa,
hupinga makusudi ya mataifa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.