Native Bible

Psalms 33:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana Mungu alisema, na ikawa, aliamuru na ikasimama imara.

Psalms 33:9 in English

Psalms 33:9 · Berean Standard Bible

For He spoke, and it came to be; He commanded, and it stood firm.

Context

7Ameyakusanya maji ya bahari kama kwenye chungu; vilindi vya bahari ameviweka katika ghala. 8Dunia yote na imwogope Bwana, watu wote wa dunia wamche. 9Kwa maana Mungu alisema, na ikawa, aliamuru na ikasimama imara. 10Bwana huzuia mipango ya mataifa, hupinga makusudi ya mataifa. 11Lakini mipango ya Bwana inasimama imara milele, makusudi ya moyo wake kwa vizazi vyote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.