Native Bible

Psalms 33:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mipango ya Bwana inasimama imara milele, makusudi ya moyo wake kwa vizazi vyote.

Psalms 33:11 in English

Psalms 33:11 · Berean Standard Bible

The counsel of the LORD stands forever, the purposes of His heart to all generations.

Context

9Kwa maana Mungu alisema, na ikawa, aliamuru na ikasimama imara. 10Bwana huzuia mipango ya mataifa, hupinga makusudi ya mataifa. 11Lakini mipango ya Bwana inasimama imara milele, makusudi ya moyo wake kwa vizazi vyote. 12Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, watu ambao aliwachagua kuwa urithi wake. 13Kutoka mbinguni Bwana hutazama chini na kuwaona wanadamu wote;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.