Native Bible

Psalms 33:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutoka mbinguni Bwana hutazama chini na kuwaona wanadamu wote;

Psalms 33:13 in English

Psalms 33:13 · Berean Standard Bible

The LORD looks down from heaven; He sees all the sons of men.

Context

11Lakini mipango ya Bwana inasimama imara milele, makusudi ya moyo wake kwa vizazi vyote. 12Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, watu ambao aliwachagua kuwa urithi wake. 13Kutoka mbinguni Bwana hutazama chini na kuwaona wanadamu wote; 14kutoka maskani mwake huwaangalia wote wakaao duniani: 15yeye ambaye huumba mioyo yao wote, ambaye huangalia kila kitu wanachokitenda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.