Native Bible

Psalms 33:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

yeye ambaye huumba mioyo yao wote, ambaye huangalia kila kitu wanachokitenda.

Psalms 33:15 in English

Psalms 33:15 · Berean Standard Bible

He shapes the hearts of each; He considers all their works.

Context

13Kutoka mbinguni Bwana hutazama chini na kuwaona wanadamu wote; 14kutoka maskani mwake huwaangalia wote wakaao duniani: 15yeye ambaye huumba mioyo yao wote, ambaye huangalia kila kitu wanachokitenda. 16Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake; hakuna shujaa aokokaye kwa wingi wa nguvu zake. 17Farasi ni tumaini la bure kwa wokovu, licha ya nguvu zake nyingi, hawezi kuokoa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.