Native Bible

Psalms 33:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Farasi ni tumaini la bure kwa wokovu, licha ya nguvu zake nyingi, hawezi kuokoa.

Psalms 33:17 in English

Psalms 33:17 · Berean Standard Bible

A horse is a vain hope for salvation; even its great strength cannot save.

Context

15yeye ambaye huumba mioyo yao wote, ambaye huangalia kila kitu wanachokitenda. 16Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake; hakuna shujaa aokokaye kwa wingi wa nguvu zake. 17Farasi ni tumaini la bure kwa wokovu, licha ya nguvu zake nyingi, hawezi kuokoa. 18Lakini macho ya Bwana yako kwa wale wamchao, kwa wale tumaini lao liko katika upendo wake usio na kikomo, 19ili awaokoe na mauti, na kuwahifadhi wakati wa njaa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.