Native Bible

Psalms 33:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ameyakusanya maji ya bahari kama kwenye chungu; vilindi vya bahari ameviweka katika ghala.

Psalms 33:7 in English

Psalms 33:7 · Berean Standard Bible

He piles up the waters of the sea; He puts the depths into storehouses.

Context

5Bwana hupenda uadilifu na haki; dunia imejaa upendo wake usiokoma. 6Kwa neno la Bwana mbingu ziliumbwa, jeshi lao la angani kwa pumzi ya kinywa chake. 7Ameyakusanya maji ya bahari kama kwenye chungu; vilindi vya bahari ameviweka katika ghala. 8Dunia yote na imwogope Bwana, watu wote wa dunia wamche. 9Kwa maana Mungu alisema, na ikawa, aliamuru na ikasimama imara.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.