Native Bible

Psalms 33:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana hupenda uadilifu na haki; dunia imejaa upendo wake usiokoma.

Psalms 33:5 in English

Psalms 33:5 · Berean Standard Bible

The LORD loves righteousness and justice; the earth is full of His loving devotion.

Context

3Mwimbieni wimbo mpya; pigeni kwa ustadi, na mpaze sauti za shangwe. 4Maana neno la Bwana ni haki na kweli, ni mwaminifu kwa yote atendayo. 5Bwana hupenda uadilifu na haki; dunia imejaa upendo wake usiokoma. 6Kwa neno la Bwana mbingu ziliumbwa, jeshi lao la angani kwa pumzi ya kinywa chake. 7Ameyakusanya maji ya bahari kama kwenye chungu; vilindi vya bahari ameviweka katika ghala.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.