Zaburi 33:3
Psalms 33:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwimbieni wimbo mpya; pigeni kwa ustadi, na mpaze sauti za shangwe.
Psalms 33:3 in English
Psalms 33:3 · Berean Standard Bible
Sing to Him a new song; play skillfully with a shout of joy.
Context
1Mwimbieni Bwana kwa furaha, enyi wenye haki;
kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo. 2Msifuni Bwana kwa kinubi,
mwimbieni sifa kwa zeze la nyuzi kumi. 3Mwimbieni wimbo mpya;
pigeni kwa ustadi, na mpaze sauti za shangwe. 4Maana neno la Bwana ni haki na kweli,
ni mwaminifu kwa yote atendayo. 5Bwana hupenda uadilifu na haki;
dunia imejaa upendo wake usiokoma.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.