Native Bible

Psalms 33:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msifuni Bwana kwa kinubi, mwimbieni sifa kwa zeze la nyuzi kumi.

Psalms 33:2 in English

Psalms 33:2 · Berean Standard Bible

Praise the LORD with the harp; make music to Him with ten strings.

Context

1Mwimbieni Bwana kwa furaha, enyi wenye haki; kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo. 2Msifuni Bwana kwa kinubi, mwimbieni sifa kwa zeze la nyuzi kumi. 3Mwimbieni wimbo mpya; pigeni kwa ustadi, na mpaze sauti za shangwe. 4Maana neno la Bwana ni haki na kweli, ni mwaminifu kwa yote atendayo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.