Native Bible

Psalms 33:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwimbieni Bwana kwa furaha, enyi wenye haki; kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.

Psalms 33:1 in English

Psalms 33:1 · Berean Standard Bible

Rejoice in the LORD, O righteous ones; it is fitting for the upright to praise Him.

Context

1Mwimbieni Bwana kwa furaha, enyi wenye haki; kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo. 2Msifuni Bwana kwa kinubi, mwimbieni sifa kwa zeze la nyuzi kumi. 3Mwimbieni wimbo mpya; pigeni kwa ustadi, na mpaze sauti za shangwe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.