Native Bible

Psalms 29:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sauti ya Bwana hupiga kwa miali ya umeme wa radi.

Psalms 29:7 in English

Psalms 29:7 · Berean Standard Bible

The voice of the LORD strikes with flames of fire.

Context

5Sauti ya Bwana huvunja mierezi; Bwana huvunja vipande vipande mierezi ya Lebanoni. 6Hufanya Lebanoni irukaruke kama ndama, Sirioni* urukaruke kama mwana nyati. 7Sauti ya Bwana hupiga kwa miali ya umeme wa radi. 8Sauti ya Bwana hutikisa jangwa; Bwana hutikisa Jangwa la Kadeshi. 9Sauti ya Bwana huzalisha ayala, na huuacha msitu wazi. Hekaluni mwake wote wasema, “Utukufu!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.