Native Bible

Psalms 29:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hufanya Lebanoni irukaruke kama ndama, Sirioni* urukaruke kama mwana nyati.

Psalms 29:6 in English

Psalms 29:6 · Berean Standard Bible

He makes Lebanon skip like a calf, and Sirion * like a young wild ox.

Context

4Sauti ya Bwana ina nguvu; sauti ya Bwana ni tukufu. 5Sauti ya Bwana huvunja mierezi; Bwana huvunja vipande vipande mierezi ya Lebanoni. 6Hufanya Lebanoni irukaruke kama ndama, Sirioni* urukaruke kama mwana nyati. 7Sauti ya Bwana hupiga kwa miali ya umeme wa radi. 8Sauti ya Bwana hutikisa jangwa; Bwana hutikisa Jangwa la Kadeshi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.