Zaburi 29:4
Psalms 29:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sauti ya Bwana ina nguvu; sauti ya Bwana ni tukufu.
Psalms 29:4 in English
Psalms 29:4 · Berean Standard Bible
The voice of the LORD is powerful; the voice of the LORD is majestic.
Context
2Mpeni Bwana utukufu unaostahili jina lake;
mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake. 3Sauti ya Bwana iko juu ya maji;
Mungu wa utukufu hupiga radi,
Bwana hupiga radi juu ya maji makuu. 4Sauti ya Bwana ina nguvu;
sauti ya Bwana ni tukufu. 5Sauti ya Bwana huvunja mierezi;
Bwana huvunja vipande vipande
mierezi ya Lebanoni. 6Hufanya Lebanoni irukaruke kama ndama,
Sirioni* urukaruke kama mwana nyati.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.