Zaburi 29:2
Psalms 29:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mpeni Bwana utukufu unaostahili jina lake; mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake.
Psalms 29:2 in English
Psalms 29:2 · Berean Standard Bible
Ascribe to the LORD the glory due His name; worship the LORD in the splendor of His holiness.*
Context
1Mpeni Bwana, enyi mashujaa,
mpeni Bwana utukufu na nguvu. 2Mpeni Bwana utukufu unaostahili jina lake;
mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake. 3Sauti ya Bwana iko juu ya maji;
Mungu wa utukufu hupiga radi,
Bwana hupiga radi juu ya maji makuu. 4Sauti ya Bwana ina nguvu;
sauti ya Bwana ni tukufu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.