Native Bible

Psalms 29:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mpeni Bwana, enyi mashujaa, mpeni Bwana utukufu na nguvu.

Psalms 29:1 in English

Psalms 29:1 · Berean Standard Bible

Ascribe to the LORD, O heavenly beings,* ascribe to the LORD glory and strength.

Context

1Mpeni Bwana, enyi mashujaa, mpeni Bwana utukufu na nguvu. 2Mpeni Bwana utukufu unaostahili jina lake; mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake. 3Sauti ya Bwana iko juu ya maji; Mungu wa utukufu hupiga radi, Bwana hupiga radi juu ya maji makuu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.