Zaburi 29:8
Psalms 29:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sauti ya Bwana hutikisa jangwa; Bwana hutikisa Jangwa la Kadeshi.
Psalms 29:8 in English
Psalms 29:8 · Berean Standard Bible
The voice of the LORD shakes the wilderness; the LORD shakes the Wilderness of Kadesh.
Context
6Hufanya Lebanoni irukaruke kama ndama,
Sirioni* urukaruke kama mwana nyati. 7Sauti ya Bwana hupiga kwa miali
ya umeme wa radi. 8Sauti ya Bwana hutikisa jangwa;
Bwana hutikisa Jangwa la Kadeshi. 9Sauti ya Bwana huzalisha ayala,
na huuacha msitu wazi.
Hekaluni mwake wote wasema,
“Utukufu!” 10Bwana huketi akiwa ametawazwa juu ya gharika;
Bwana ametawazwa kuwa Mfalme milele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.