Native Bible

Psalms 29:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sauti ya Bwana huzalisha ayala, na huuacha msitu wazi. Hekaluni mwake wote wasema, “Utukufu!”

Psalms 29:9 in English

Psalms 29:9 · Berean Standard Bible

The voice of the LORD twists the oaks * and strips the forests bare. And in His temple all cry, “Glory!”

Context

7Sauti ya Bwana hupiga kwa miali ya umeme wa radi. 8Sauti ya Bwana hutikisa jangwa; Bwana hutikisa Jangwa la Kadeshi. 9Sauti ya Bwana huzalisha ayala, na huuacha msitu wazi. Hekaluni mwake wote wasema, “Utukufu!” 10Bwana huketi akiwa ametawazwa juu ya gharika; Bwana ametawazwa kuwa Mfalme milele. 11Bwana huwapa watu wake nguvu; Bwana huwabariki watu wake kwa kuwapa amani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.