Native Bible

Psalms 29:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana huwapa watu wake nguvu; Bwana huwabariki watu wake kwa kuwapa amani.

Psalms 29:11 in English

Psalms 29:11 · Berean Standard Bible

The LORD gives His people strength; the LORD blesses His people with peace.

Context

9Sauti ya Bwana huzalisha ayala, na huuacha msitu wazi. Hekaluni mwake wote wasema, “Utukufu!” 10Bwana huketi akiwa ametawazwa juu ya gharika; Bwana ametawazwa kuwa Mfalme milele. 11Bwana huwapa watu wake nguvu; Bwana huwabariki watu wake kwa kuwapa amani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.