Zaburi 22:28
Psalms 22:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa maana ufalme ni wa Bwana naye hutawala juu ya mataifa.
Psalms 22:28 in English
Psalms 22:28 · Berean Standard Bible
For dominion belongs to the LORD and He rules over the nations.
Context
26Maskini watakula na kushiba,
wale wamtafutao Bwana watamsifu:
mioyo yenu na iishi milele! 27Miisho yote ya dunia itakumbuka
na kumgeukia Bwana,
nazo jamaa zote za mataifa
watasujudu mbele zake, 28kwa maana ufalme ni wa Bwana
naye hutawala juu ya mataifa. 29Matajiri wote wa dunia watasherehekea na kuabudu.
Wote waendao mavumbini
watapiga magoti mbele yake,
wote ambao hawawezi
kudumisha uhai wao. 30Wazao wa baadaye watamtumikia yeye;
vizazi vijavyo vitajulishwa habari za Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.